Hebu tuonyeshe sura ya baba tupate kukonga nyoyo...πAlhamdulillah na surayangu ya baba muhimu napumua tu akitaka aende asipotaka basi πππ
Hamna wa kupinga.View attachment 3304930
Akikuangalia tu its over
Kwa kweli wengi wetu tumewaharihu sana mabinti zetu, sura zao ni zetuπ€£Alhamdulillah na surayangu ya baba muhimu napumua tu akitaka aende asipotaka basi πππ
Unafikiri hata sura tunaangalia basi, kikubwa upumue na uwe na viungo husika tu, mengine mbwebwe tu.Alhamdulillah na surayangu ya baba muhimu napumua tu akitaka aende asipotaka basi πππ
Mamaa evalin chumvi, mambo?Hiyo make up inaongea "sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi"
Sijasema anawazid wengine, elewa topicFilter tu hata kitambaa cheupe na buza wamejaa kibao wazuri kumshinda.
Sijambo shkamooMamaa evalin chumvi, mambo?
Baba kama baba ila nyie hii inakeraaπππAlhamdulillah na surayangu ya baba muhimu napumua tu akitaka aende asipotaka basi πππ
Marhaba mtoto mwemaSijambo shkamoo
Huwa ni first born, trust meBaba kama baba ila nyie hii inakeraaπππ
Kama ndio mtoto wa pili kuzaliwa utake usitake kumfanania baba ni lazima
First born wengi wanafanana na mama bhanaπHuwa ni first born, trust me
πππYaani acha tu manyanyaso huku mtaani ukiringa inaonekana kma unatak kujinyonnga sura inakataa maringoπBaba kama baba ila nyie hii inakeraaπππ
Kama ndio mtoto wa pili kuzaliwa utake usitake kumfanania baba ni lazima
Sante mjumbe umetutia moyoUnafikiri hata sura tunaangalia basi, kikubwa upumue na uwe na viungo husika tu, mengine mbwebwe tu.
Muwe mnajitahid kutununulia soda angalau Kila weekend tujipoze machungu ya kuchukua surazenu ππKwa kweli wengi wetu tumewaharihu sana mabinti zetu, sura zao ni zetuπ€£
Usije kukimbia ππHebu tuonyeshe sura ya baba tupate kukonga nyoyo...π
ππππ,.πππYaani acha tu manyanyaso huku mtaani ukiringa inaonekana kma unatak kujinyonnga sura inakataa maringoπ