Mi siwezi kukimbia we nionyeshe tu!Usije kukimbia ๐๐
Mm na miguu ya bia imekataa kabisa Yani Kuna wababa Wana damu Kali๐๐๐๐,.
Kwanza mwendo tu unaweza kukukataa maana kuanzia miguu umechukua ya kwake
๐๐๐Mi siwezi kukimbia we nionyeshe tu!
Onyesha mama pm yangu ipo wazi... unaogopa nini๐๐๐
Nachoshuku mzee alijaliwa miguu mizuri tatizo sasa vinyweleo ,.Mm na miguu ya bia imekataa kabisa Yani Kuna wababa Wana damu Kali
Mamaang anashape nzuri balaa Mimi Sasa ๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃtunawapenda sana binti zetu, tunajua mna sura zetu.Muwe mnajitahid kutununulia soda angalau Kila weekend tujipoze machungu ya kuchukua surazenu ๐๐
Polesana na hongera ametoa copy๐Nachoshuku mzee alijaliwa miguu mizuri tatizo sasa vinyweleo ,.
Useless kabisa๐๐๐
Ubaya ndugu zangu wotewamefanana na mama kama ni sura kwa mbaali ila rangi na kila kitu cha mama,.
Mimi sasa ndio kuanzia kichwa hadi miguu hadi rangi nyie๐ฅบ๐๐ ๐