Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Screenshot_20250429-081333_Facebook.png
 
Hatari sana si wanapost wanapojua, utashangaa mkulungwa kadownload akaleta hapa!
Watu wanaenda kudanlod kwa kuwa wameiona mahali.
Wasipoiona watampata wapi?
Mi sina shaka na wa kwangu, page zake zote haonekani.
Kutupia picha jukwaa hili ni uraibu mbaya sana😁🙄😇, usiombe watu wa hapa waone picha yake, wanaing'oa na kuja kuitupia huku🤣🤣
 
Mahali pale paliburudisha sana, lakini miezi michache hii pameboreka sana
Iko hivyo. Kila kitu kina muda wake Na hakuna mahali palipoburudisha hapa JF kama ule uzi wa likes wakati upo kwenye peak. Enzi zile kuna Mzee wa Liver na malkia wake ISIS, Jirani, SYB, Pyaar, Carba, Kijana mpole, Ningendako, Davet, Jakitoo, Yegomasika, Nsamaka, Andjul, Rutashubanyuma, BAK, Moudgulf, Mawardat...na wengineo wengi. Watu walikuwa hawalali unaambiwa 😂😂😂
 
Daa aisee hawo memba kwenye uzi wa likes siyo mchezo👍
Mida kama hii ilikuwa ni mwendo wa utani tu pale.
 
Back
Top Bottom