Mrembo wa haja
Kwema kiongozi. Za kupotea? Natumaini kila kitu kiko salamaKiongozi kwema huko
Hatari sana si wanapost wanapojua, utashangaa mkulungwa kadownload akaleta hapa!Kwakuwa anajifotoa mwenyewe na kujipost wakulungwa hawana namna, wanatupia tuπ€£π€£
Kila kitu ni shwari.Kwema kiongozi. Za kupotea? Natumaini kila kitu kiko salama
Hata sijui kulitokea nini. Hata Midekoo alipakimbia imagine. Itabidi tuje tupafufue kiaina πKila kitu ni shwari.
Ila pale jamvini sioni memba, sijajua tatizo nini?
Naona jeshi la mtu mmoja pekeeπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Watu wanaenda kudanlod kwa kuwa wameiona mahali.Hatari sana si wanapost wanapojua, utashangaa mkulungwa kadownload akaleta hapa!
Mkuu kumbe kukiwa na foleni tunapitia pitia mara unaoigiwa honi popooo π π πMrembo wa haja
Japo angekuwa wa moto zaidi angekivalisha kiuno chake shanga ama mkufu, angezidi kunoga
Bora tumezeeka sasa π
Nilikuwa kwenye foleni ya mataa nikasema ngoja nipite pite hapa kidogo wakati traffic police akiendelea kutuvuta pole poleMkuu kumbe kukiwa na foleni tunapitia pitia mara unaoigiwa honi popooo π π π
Iko hivyo. Kila kitu kina muda wake Na hakuna mahali palipoburudisha hapa JF kama ule uzi wa likes wakati upo kwenye peak. Enzi zile kuna Mzee wa Liver na malkia wake ISIS, Jirani, SYB, Pyaar, Carba, Kijana mpole, Ningendako, Davet, Jakitoo, Yegomasika, Nsamaka, Andjul, Rutashubanyuma, BAK, Moudgulf, Mawardat...na wengineo wengi. Watu walikuwa hawalali unaambiwa πππMahali pale paliburudisha sana, lakini miezi michache hii pameboreka sana
Daa aisee hawo memba kwenye uzi wa likes siyo mchezoπIko hivyo. Kila kitu kina muda wake Na hakuna mahali palipoburudisha hapa JF kama ule uzi wa likes wakati upo kwenye peak. Enzi zile kuna Mzee wa Liver na malkia wake ISIS, Jirani, SYB, Pyaar, Carba, Kijana mpole, Ningendako, Davet, Jakitoo, Yegomasika, Nsamaka, Andjul, Rutashubanyuma, BAK, Moudgulf, Mawardat...na wengineo wengi. Watu walikuwa hawalali unaambiwa πππ