2v2
JF-Expert Member
- May 7, 2025
- 242
- 360
mbona wa hovyo tuu huyoMali kama hii,unaweza ukapiga mpaka ukajikuta umeweka nyumba yako ya urithi rehani.
Hii comment inathibitisha Uzuri wa mtu upo machoni pa mtumbona wa hovyo tuu huyo
Mitandaoni tu huko afsaUmeitoa wapi hii mkali?
Kuna mrembo matata Insta huko anaitwa Pamela alexander sijawahi ona pisi kama hiyoBro Evelyn Salt huna picha za warembo wakali kwenye simu yako?