M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Kweli hapa ni Bampa tu Bampa mkuu😍
Hii jenzi imemkaa vzr sana.
Weeee?😱 Serious?Huyu demu nilimpa laki 3 akaikataa
Ndiyo, nilichukua simu ya mshikaji nikamzamia DMWeeee?😱 Serious?
Alíkuwa anataka ngapi?Ndiyo, nilichukua simu ya mshikaji nikamzamia DM
Sikujua, maana baada ya kumpa ofa yangu akaacha na kunijibuAlíkuwa anataka ngapi?
Ulikosea kumuingia mkuu!Sikujua, maana baada ya kumpa ofa yangu akaacha na kunijibu
Nakubali, sema tulikua maji club flani mwanza ndiyo mshikaji akanambia hii pisi ipo mwanza. Genye zikanipanda nikasema acha ni slide dmUlikosea kumuingia mkuu!
Analika vzr tuNakubali, sema tulikua maji club flani mwanza ndiyo mshikaji akanambia hii pisi ipo mwanza. Genye zikanipanda nikasema acha ni slide dm