Hapo kila wiki lazima nikacheck afya ili nimuone tu huyu nesi
Jibu mujarabu kabisa. Watu tunaweza maandamano yeye anawaza magagulo. Akishakuwa nayo apige picha na aweke humu tuone jinsi alibyopendeza nasi udenda ututoke.Na ww uwe nayo sasa ili udenda usikutoke mana utakuwa unayamiliki mwnyw
Kuna ndugu yetu aliwah lisema hili wakat huo mimi nina miaka 12 hata sikumwelewaHivi hizi mambo zilipoteleaga wapi wakuu?
Yani mimi nilikua nikiona hivi tu enzi hizo,udenda unanitoka.
waifu matirio kabisa, anapatikana wapi?
Kwa Raila Odingawaifu matirio kabisa, anapatikana wapi?