Kuna video niliiona ya kitambo akiwa binti alikuwa anaelezea mambo anayopitia kipindi hiko akiwa Rwanda, sikuelewa alichokuwa anaongea Ila comment nyingi za watu zilikuwa zinasema 'alikuwa anapitia hali ngumu ya kimaisha kwenye familia yake mpaka ikafikia kufikiria kujitoa uhai'
Nadhani aina ya maisha magumu aliyokuwa anapitia ndiyo yamemfanya kwenda USA na kujilipua kucheza video za ngono.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.