Oyaa huu uzi unafuatiliwa na watu maelfu wenye heshima zao. Unapotuwekea wapwa zako wa Kishapu, tutakutoa humu kinguvu
Uwiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Oyaa huu uzi unafutailiwa na watu maelfu wenye heshima zao. Unapotuwekea wapwa zako wa Kishapu, tutakutoa humu kinguvu
Tayari kupewa haki yake...
Aisee 🤔 kishapu tenaOyaa huu uzi unafuatiliwa na watu maelfu wenye heshima zao. Unapotuwekea wapwa zako wa Kishapu, tutakutoa humu kinguvu