Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Na utu uzima wangu huu
Wewe ulitakiwa tuwe wote kwa muda huu nasikiliza nyimbo zisizo na fujo may day faly ipupa. Alafu wewe unakua unajipitisha pitisha na upande wa kanga kuniletea tende na maziwa
Unaonaje hii
 
1775408695929.jpg
 
Hahaa we dogo umewaza nini kwanza😆
Dogo tena kuna dogo anae tumia mda wake kumsikiliza legend
Acha papala njoo tujichimbie naamini utaleta ushuhuda humu jf next holiday
 
Back
Top Bottom