Asee mbona umempiga picha mke wangu mama Junior bila ya ridhaa yake na kuja kuiweka picha yake humu jukwaani! Tabia ya wapi hii ndugu zangu!!
Samahani kaka ila hongeraAsee mbona umempiga picha mke wangu bila ya ridhaa yake na kuja kuiweka picha yake humu jukwaani! Tabia ya wapi hii ndugu zangu!!
Majaribu ni mtaji wa meditation.. Umepelekwa field mapema sana😂
ni kosa kisheria kupiga picha ya mtu ambaye hajakupa idhini na kuitumia kujinufaisha wewe mwenyewe, adhabu yake huwa ni faini kuanzia 2.5M au jela miaka 2 au vyote kwa pamoja,ikiwemo kufuta post hizo na kuomba msamaha. Mleta mada anaikaribia jela bila kujijua.Asee mbona umempiga picha mke wangu mama Junior bila ya ridhaa yake na kuja kuiweka picha yake humu jukwaani! Tabia ya wapi hii ndugu zangu!!
Wewe unawajua wanawake wazuri kwa umbo wewe?Amenenepa vibaya
Hana kitambi, ila nyama nyingiiiii 😘
Sindio😂😂😂😂 mtihani asubuhi asubuhi kabla hujakwiva
Fanya kupita nae tu kesho tuta meditate tena