Asante kwa pihaHuo ndio ukweli, wadada wenye Big Nyash wengi wao wana mapenzi ya kweli na hawana tamaa ndogo ndogo kikubwa tu awe amekula ameshiba simu ina bando basi karidhika.
Hawa flat mnaowasifia ni kweli wengi wao wana akili lakini vina tamaa mbaya mbovu, hawaridhiki na chochote.
Mimi ntachagua Big Nyash over and over akili tutatumia za kwangu.
View attachment 3653077
View attachment 3653079
View attachment 3653078
kwamba ndio anapokaa sio south hii nimbambie pipa chap
aseeeee
Southkwamba ndio anapokaa sio south hii nimbambie pipa chap