Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,654
- 127,423
We ndio uko unasema Mungu kaongea na wewe 😹😹anasbo upoooooo na wazee wa lupaso 071
anyway kwa hiyo wakuu tubaki hapahapa tz.
tukanunue na kujenga south
au twende ethiopia
au rwanda????
au tuvuke venezuela?
au phillipine?
au brazili emb tujadili hili
usiwe wa kuhukumu usiyoyajua ila kwa ukweli tuu jua ulimwengu hatuishi wamoja na mimi account yangu nilishare na dogo ila soon nabadili passwordWe ndio uko unasema Mungu kaongea na wewe 😹😹
We si shetani kabisa .... Tunashinda wote huku kwenye kuchochea Uzinzi na uasherati.
Huyu nabii wetu ni mwana 😂We ndio uko unasema Mungu kaongea na wewe 😹😹
We si shetani kabisa .... Tunashinda wote huku kwenye kuchochea Uzinzi na uasherati.
Huyu nabii wetu ni mwana 😂
Jamaa anapenda kuhukumu sana nimemwambia lakini hajaelewa kabisaView attachment 3692665
Nyie si mmegoma kuja kanisani
"Im the one"..... Dj Khaled ft J.BieberView attachment 579835
Hili ndo kanisa sasa sadaka unachagua upeleke kwa nani.View attachment 3692665
Nyie si mmegoma kuja kanisani
Nabii fix hiiusiwe wa kuhukumu usiyoyajua ila kwa ukweli tuu jua ulimwengu hatuishi wamoja na mimi account yangu nilishare na dogo ila soon nabadili password
wanasema unawaharibia uziNabii fix hii