CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Hakuna mwalimu aliyefunzwa atavaa hivyo. Unawahukumu waalimu bure. Huyo huoni anagawa pedi kwa watoto wa kike hapo?View attachment 1734068
pamoja na Kwamba ualimu ni wito
Ila mavazi yao wakati mwingine yawasumbua watoto na hasa hichi kipindi ndicho kupiga nyeto huanzia hapa!
Mfano Huyo mtoto kaishamvua huyo nguo madam
ila hahah kimawazo tu!
Yaani mimi nikiona mtu ana mtuhumu mtu tena kwa kitu kilichopo dhahiri au asichokijuwa nachukia sana. Waacheni waalimu,leteni picha za hasho yaliyoshindikana na dunia,basi.