Naombeni handle yake kokote kwenye social media.
Tutsi 100%.View attachment 1739743
Sent using Jamii Forums mobile app
wee jamaa unapenda sana mabonge, tokea ujue huu uzi, kazi yako ni kuposti mabonge tuu.
Sasa hawa ni warembo au michelin womenπ€£π€£π€£π€£π€£
Weka picha yako tuone ulivyowazidi uremboSasa hawa ni warembo au michelin womenπ€£π€£π€£π€£π€£
Aaah, huu mchezo hapana π¬
Coca-Cola punguzeni mishahara watu wapunguze upepo jamani
Kizuri kinyama π
Hizo sneaker kali sana πππ.View attachment 1741974View attachment 1741975View attachment 1741977
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app