Hakuna mwalimu aliyefunzwa atavaa hivyo. Unawahukumu waalimu bure. Huyo huoni anagawa pedi kwa watoto wa kike hapo?
Yaani mimi nikiona mtu ana mtuhumu mtu tena kwa kitu kilichopo dhahiri au asichokijuwa nachukia sana. Waacheni waalimu,leteni picha za hasho yaliyoshindikana na dunia,basi.
Sema hujawaona wewe mkuu, mimi nilianza nyeto kwa kupitia walimu wenye chura wanayoivalia tight
Teacher Frida popote ulipo Ubarikiwe