Nipe connection
Ndo nan?????View attachment 1765523
Amekula vichwa idadi unaweza ikajaa mabehewa 8 ya treni[emoji23][emoji23]
Ana majina mengi kama afisa usalama. Kila mtu anamjua kwa jina lake😂😂
Duuuuuuuu....zana ulikumbuka?????Ana majina mengi kama afisa usalama. Kila mtu anamjua kwa jina lake[emoji23][emoji23]
Mie nishapita nae mara mbili akinitajia majina tofauti na hanikumbuki