BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
Anaitwa Nani huyu aisee[emoji15][emoji15]Napenda x zake sana
Anaitwa Nani huyu aisee[emoji15][emoji15]Napenda x zake sana
Uko na traako? 😬
Em nitumie PM then niiwasilishe humu
Mamaaaa, sawa basi! Ila sijaona mrejesho! 🤣 🤣 🤣Mbona wote hapo hakuna hilo traako? ninalo tena kubwa sana ambalo huwezi livalia dera maana utabaki kuwaumisha wanaume wakware kwa mtikisiko ya hatariiii
Hujatuma kituTayari
Pale Miss Madeko anapodeka!Mbona siioni picha yangu? Au mme wangu hunidanganya kuwa ur beautiful jaman
Mungu anisamehe tu lakini ukweli rangi hii siipendi basi tu.View attachment 1796473
View attachment 1796474
View attachment 1796476
Hii sura nimeiona sana instagram mrembo ni mpishi na anabiashara ya chakula ya mwanadamu, ila hi5 naona kuna mtu anatumia picha zake na kutangaza kuwa anafanya biashara ya chakula ya wanaume. ukiingia kichwa kichwa utatuma nauli 10k na usiambulie kitu.
Pole mkuu. Mimi hakuna rangi ninachukia. Napenda dark skin zaidi lakiniMungu anisamehe tu lakini ukweli rangi hii siipendi basi tu.