jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Hahaaa..sijasemea umri nmesemea mwili..penda sana vyenye miili midogo midogo...leta connections kama uko nayo.Penda tu vyenye miili kama hiyo,ila ukimzoom huyo utagundua kuwa ni mtu mzima sana,amezeeka,usoni ana utangotango sema kauficha na makeup. Huyo huko kwa Mpalange kushakuwa kama mtoto mdogo anapiga miyayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app