Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Sorry chief!Hapana mkuu. Naona atakuwa sehemu ya entourage ya Masha Love ila sina connection naye. Nilidhani humu kutakuwa na watu wanaemjua watuongoze ilahakuna lolote [emoji3][emoji3]. Imagine hata anasbo, mrangi , Kunguru wa Manzese na Emiir, CAGvsSPEAKER na Kim Dawizzy na maujanja yao yote, wote hawamjui [emoji3] [emoji3] [emoji3]