Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
ndio maana wanaenda kule waliokubuhu sema nilisikitika saana baada ya kumuona na kira noir kule
😀😀😀 wamezidi aisee. Saa ingine ni kichefu chefu tu kule. Kitu badala ya kufurahisha kinakuhuzunisha sasa kina maana gani.? Itakuwa wameona acts za kawaida zinaboa watu, wameamua udhalilishaji ndiyo dili.