wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,527
Ndio maana sibaga shovo na mwanamke anaejipaka paka au mfuva kucha hao wanavagua kazi balaaHawa ndio wale amabao ukimwalika anaagiza kuku mzima halafu anakula nusu eti kashiba pumbafu kabisa.
Ndio maana sibaga shovo na mwanamke anaejipaka paka au mfuva kucha hao wanavagua kazi balaaHawa ndio wale amabao ukimwalika anaagiza kuku mzima halafu anakula nusu eti kashiba pumbafu kabisa.
Hakunamo wanawake humo . Hao ni wa show si wa maendeleo ya family . Uzuri wa mwanamke awe na uwezo mzuri kichwani na moyo wa kiungwana. Utaifurahia hiyo ndoaWarembo wa Tanzania wazuri sana View attachment 1918969View attachment 1918970
Uwe unatembea na vifuko vya nailon..akica unabeba unapeleka kwenye gari..ukifika home unapasha unakanga na ndizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa ndio wale amabao ukimwalika anaagiza kuku mzima halafu anakula nusu eti kashiba pumbafu kabisa.
kama kawa mkuuTumerudi hewani🎉
Natabiri huu uzi zitatupiwa zile picha zetu pendwa za warembo na kuufidia ule uzi wa "Picha za warembo wakali duniani"
KIFUATACHO:
Moderators watautupilia mbali huu uzi sawa na ule mwingine.
wameunga na superglu mkuuHii iliopigwa kiufundi inaitwaje sasa
wameunga mkuuHii iliopigwa kiufundi inaitwaje sasa
wameunga na superglu mkuu
Kumbe wameturudisha kule kule [emoji15][emoji23]Hii iliopigwa kiufundi inaitwaje sasa
Kumbe wameturudisha kule kule [emoji15][emoji23]