Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Mwasisi wa huu uzi si Jambazi? mbona sasa hivi anasomeka mwingine na kuna picha nazikumbuka sizioni pale!
Yeah ni kweli hata mimi nimeona, ngoja tumwite huyu rikiboy mtaalam wa kupigania haki za umiliki uzi, hapa Jambazi arudishiwe umiliki wa uzi. Maana wewe ni mtaalamu wa kupigania umiliki wa uzi na niliuona utaalam wako pale ulipopokwa ule uzi wako kula tunda kimasihara! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…