Nafuata Maagizo niliyopewa na aliyenituma.
Yangu ndiyo haya ya kuwakumbusha watu watubu, wewe kama hupendezwi na haya niyafanyayo basi sawa.
Unajuwa kwa kusema tu kuwa ana kula jicho (hata kama hali) anaweza kusababisha wangapi wakajaribu? Na wakijaribu huoni kama wanapotea?
Haijalishi anatania au anamaanisha (maana huwezi jua lengo haswa la yeye kuandika hivo, SHETANI YUPO KAZINI)... Mimi niko hapa kukumbusha kula jicho si kitu cha Kumpendeza Mungu, hivyo Acha hiyo tabia, na hata Kama unatania Acha kutania maana wapo watakao Amini na kwenda kujaribu, WAKISHA JARIBU WANAKUWA WAMEMCHUKIZA MUNGU ingawaje wewe ULISEMA KWA MATANI TU...
Tutubu ndugu zangu, najua hata wewe umeni-quote makusudi (kunayo intention fulani ndani yako) LAKINI Mimi niko hapa IMARA kwaajili ya KUHAKIKISHA TUNAMPENDEZA MUNGU.
KAZI YANGU MIMI NI KUSEMA NILICHOTUMWA... UKisikia sikia, usiposikia (Hapo ndipo msalaba wako utabaki kuwa wako)... UKisikia ukabadilika Basi Tunamtukuza Mungu kwaajili yako... Na UKisikia ukakataa kubadilika Basi sawa.
Tubuuuuuuuuuuuu, badilikaaaaa na Umpendeze Mungu wako... Kesho yetu fumbo na HAKUNA MKAMILIFU, MUNGU PEKEYAKE.
Wasalaam.