Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Shekh unawezaje kuja huku 😠😠 yaan unaangaliaa baadae unajifanya kunatoa nasaha 😀😀😀
 
Shekh unawezaje kuja huku 😠😠 yaan unaangaliaa baadae unajifanya kunatoa nasaha 😀😀😀
Yote heri sheikh wangu, MIMI FURAHA YANGU WATU WAMRUDIE MUUMBA WAO.

Lakini sheikh wangu si uliniambia mambo haya huyawezi kwanini uko Tena kwenye nyuzi hii, toka haya ni majaribu makubwa Sana.
 
Mbona na wewe upo kwenye nyuzi hii!!!
Mimi nipo kutoa nasaha, Kama inawezekana tuungane kutoa nasaha, Lakini Kumbuka

Warumi 2:3
"Wewe binadamu, uwahukumuye wale wafanyao hayo na kutenda yayo hayo mwenyewe, je! Wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu?"

Kama ukiamua kuungana na Mimi kuwakumbusha na kuwaasa ndugu na jamaa zetu katika uzi huu basi jitoe kuwaasa huku ukiyaepuka matendo ya uzi huu yasikutoe kwenye njia ya haki na kweli mbele za Mungu akuonaye ufanyapo kwa Siri, maana yeye ndiye atakaye tuhukumu..

KARIBU sheikh wangu tuwakumbushe kaka na dada zetu
 

 
Huo mtaa unaokaa kuna bar ngap zimekuzunguka na umewai kwenda kuwaubiria kuacha pombe
 
Huo mtaa unaokaa kuna bar ngap zimekuzunguka na umewai kwenda kuwaubiria kuacha pombe
Sijatumwa kuwaita watu wa mabaa ya mtaani kwangu..

Kama ilivyo kwa mtume paulo, alitumwa kuwaita na kuwahubiria habari njema watu wa "mataifa", lakini Mtume Petro alitumwa kwa watu wa "taifa teule"..

Yona alitumwa kwa watu wa Ninawi.. Mimi nimetumwa kwako wewe na wengineo na ndio maana kazi yangu naifanya hapa nilipotumwa..

Ninamshukuru Mungu kwaajili yako, fanya toba Muombe Mungu akusamehe (kwa lolote ulilofanya kinyume na mapenzi yake), upo wakati ambao hii neema hamtaiona wala kuisikia... Tubu leo.
 
Umeona misambwanda migongo
Ndembendembe humu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…