Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Hapo kaoga kwanza na kupaka mekapu ndio kasnapiwa [emoji1787]

Ukikutana nae anasuka mabutu utakimbia[emoji1787][emoji1787]

Wakuu tuseme tu ukweli hapa tumekosa connection baaasi

Ila huyu demu ni pisi kweli kweliiiii, namjua na uwa nakutana nae mara nyingi nyingi tu kwenye harakati za kimaisha

Anajielewa,sio mdangaji na ni mtafutaji wa vya halali, sio vile vya kitamaa...kuna mwamba mmoja ndo anaemmiliki, sema mwamba nae yupo vizuri mnooo.
 
Back
Top Bottom