Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,280
Wewe hiyo hatari.Kama ndo uyo kwenye picha siendi.amna kitu umo.
Usicheze na chibonge mwepesi wewe.hamna maajabu humo chibongehuyo
Wacha Mchezo; hapa je?Muda wa ibada umefika, ile umejiandaa vizuri uko njiani aidha kwa gari, pikipiki, baiskeli au kwa mguu . Mara anatokea mdada anakuita ukamtibu nyumbani/ghetto kwake.
Anakuambia ana mwaka hajapata dawa na mume/mpenzi wake yuko nje kikazi.
Kwa mzigo huu hapa chini ni wanaume wangapi tutashinda hilo jaribu?
View attachment 2027949
Whywewe jamaa ......utakuwa na umri mkubwa sana.
SI ndio zuriMbona TETEMA sasa??
Muda wa ibada umefika, ile umejiandaa vizuri uko njiani aidha kwa gari, pikipiki, baiskeli au kwa mguu . Mara anatokea mdada anakuita ukamtibu nyumbani/ghetto kwake.
Anakuambia ana mwaka hajapata dawa na mume/mpenzi wake yuko nje kikazi.
Kwa mzigo huu hapa chini ni wanaume wangapi tutashinda hilo jaribu?
View attachment 2027949