Tamaa ya mwili haiwezi kutimizwa kamwe. unatakiwa ufike mahali ufunguke kwamba kutii sana matakwa ya mwili ni utumwa mkubwa sana.Fikiri tuu kwamba macho ndiyo yanayotupotosha. checki kila ukipita njiani unaona wangapi .Tuseme utazini na kila anayetamanisha kwa macho ,halafu iweje sasa? mwisho ni nini?utaendelea mpaka lini?Muda wa ibada umefika, ile umejiandaa vizuri uko njiani aidha kwa gari, pikipiki, baiskeli au kwa mguu . Mara anatokea mdada anakuita ukamtibu nyumbani/ghetto kwake.
Anakuambia ana mwaka hajapata dawa na mume/mpenzi wake yuko nje kikazi.
Kwa mzigo huu hapa chini ni wanaume wangapi tutashinda hilo jaribu?
View attachment 2027949
Akivua hiyo nguo utamkimbia. Minyama imejaa mabonde mabonde kama fenesMuda wa ibada umefika, ile umejiandaa vizuri uko njiani aidha kwa gari, pikipiki, baiskeli au kwa mguu . Mara anatokea mdada anakuita ukamtibu nyumbani/ghetto kwake.
Anakuambia ana mwaka hajapata dawa na mume/mpenzi wake yuko nje kikazi. Kwa mzigo huu hapa chini ni wanaume wangapi tutashinda hilo jaribu?
Hiyo sura tuu utafikiri secretary wa kuzimu.
Muda wa ibada umefika, ile umejiandaa vizuri uko njiani aidha kwa gari, pikipiki, baiskeli au kwa mguu . Mara anatokea mdada anakuita ukamtibu nyumbani/ghetto kwake.
Anakuambia ana mwaka hajapata dawa na mume/mpenzi wake yuko nje kikazi. Kwa mzigo huu hapa chini ni wanaume wangapi tutashinda hilo jaribu?
Kama ndo uyo kwenye picha siendi amna kitu umo.
Vitu apendavyo DJ Chokah[emoji23]Sasa huyo Big Punisher wa kike anakutoaje udenda?
Huyo wa KWANZA Ana chura?Kama anayo fanya utaratib
Beautiful....."Im the one"..... Dj Khaled ft J.BieberView attachment 579835
Hapa usipofukua mtaro sambi sako mwenyewe[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2027858
hapa sawa hili shundu linashawishi, sio kama yule mwenye mabonde.