mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Huyu wa mwisho yuko vzr
Usisahau kuweka na namba zao za simu!Turudi kwenye maana halisi ya mwanzishaji wa uzi, alikuwa anataka picha hizi.View attachment 2074049View attachment 2074052View attachment 2074053View attachment 2074055
Mimi mwenyewe nilikuwa na stress zangu lkn nikafungua huu uzi kidogo nimetulia kisakolojiaWenzetu jukwaa la siasa wako bize wanavutana nani ateuliwe nani asiteuliwe!
Acha sisi tuendele kuwaona watoto wazuri
Mambo mazuri kupitia uzi huu [emoji23]
Huku no stress
Ova
HahahaMimi mwenyewe nilikuwa na stress zangu lkn nikafungua huu uzi kidogo nimetulia kisakolojia
Mwanzisha huu uzi, research yake iligusa mahitaji ya watu wengi nashauri apewe PhDHahaha
Lazima utulieee mzee
Hata yule aliyebwaga manyanga kule dom akiupitia uzi huu ata relax
Ova
KabisaMwanzisha huu uzi, research yake iligusa mahitaji ya watu wengi nashauri apewe PhD