LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,394
- 6,550
Aliponichosha Mungu ni pale aliposema dhambi ni dhambi.Nyuma sigusi tena ktk watu Mungu hawatawasamehe ni
Wala riba
Wachawi
Wafiraji
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Akauwa na kumalizia kwa kusema "amwangaliaye mwanamke na kumtamani amekwisha zini naye"
So wajuba wote tunaopitia huu uzi ni kwamba tunazini
Ila aliponifurahisha Mungu anasemq waliowake anawajua na wa kwanza atakuwa wa mwisho..
So mzee baba usikate tamaa unaweza ukawa wake anakujua na ukawa mwishoni ukazama peponi.