Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Nyuma sigusi tena ktk watu Mungu hawatawasamehe ni



Wala riba

Wachawi

Wafiraji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aliponichosha Mungu ni pale aliposema dhambi ni dhambi.
Akauwa na kumalizia kwa kusema "amwangaliaye mwanamke na kumtamani amekwisha zini naye"

So wajuba wote tunaopitia huu uzi ni kwamba tunazini

Ila aliponifurahisha Mungu anasemq waliowake anawajua na wa kwanza atakuwa wa mwisho..

So mzee baba usikate tamaa unaweza ukawa wake anakujua na ukawa mwishoni ukazama peponi.
 
Watu kama nyie ndio mie nawapenda maana unakuwa mkweli na nafsi yako. Unajua kabisa kuwa mie kwa kuzibua mtaro automaticaly moto unanihusu.
Mzeya tukifika motoni wee nyoosha mkono ukiwa umekunja ngumi ili nije nikusabai kabla hatujaanza kulipia maovu yetu ya duniani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila sema tutakuwa wengi motoni

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]au sio


Wacha niendelee kuzini tu ila kupita rough road hapana aisee ..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Humu tunaangalia/tunatamani picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…