Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kuna wanaume wana roho ngumu sana
IMG_1369.jpg

anapiga hichi
IMG_1374.jpg

Ukute hata 0713 anakapelekea
IMG_1375.jpg

Ila hivi vijitu navyo vina wivu balaa
IMG_1373.jpg

nadhani ni vile vinajua kuwa soko lake nalo sio kubwa sana
IMG_1371.jpg

Vinaweza kukukaba mbele za watu kisa?
vinajihami tu
 
Tena nyie watumishi ndio wakuogopwa kabisa...mnawaombea waumini huku mikono ipo kwenye mbususu zao🤣🤣🤣🤣
Hao watumishi walio kengeuka mkuu.. Lakini sie tunao mtumikia Yesu Kristo alie hai na kumtii hatuwezi mdhalilishana Bwana wetu Yesu kwa matendo maovu.. kondoo wapo salama ila pia wapo wasio waadilifu hufanya mabaya.. karibu sana kanisani akupeleke mrembo atakuombea na kuombea
 
ASanta baba mchungaji nitakuja kanisani. Lipo maeneo gani? Nataka mniombee niondokane na huyu shetani wa uzinzi
 
Hao watumishi walio kengeuka mkuu.. Lakini sie tunao mtumikia Yesu Kristo alie hai na kumtii hatuwezi mdhalilishana Bwana wetu Yesu kwa matendo maovu.. kondoo wapo salama ila pia wapo wasio waadilifu hufanya mabaya.. karibu sana kanisani akupeleke mrembo atakuombea na kuombea
Kanisan hko madem wenye misambwanda wapo lkn

Ova
 
Back
Top Bottom