Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
matapeli ni wengi kuliko wakweli. ukilipa tu unakula block. tafuta wale wachache ambao ni verified( team uaminifu) wakupe connection. ukipewa pisi pia uwe makini inakuweza kukupiga. omba pisi iliyo kwenye eneo lako halafu ifuate mwenyewe uikague usiitumie nauliHivi wakuu wale wanaodai wanatoa connection telegram kwa malipo sio matapeli kweli? Nani ana experience nao kabla sijajilipua muongozo wenu muhimu
Tumia Tinder hauhitaji connectionHivi wakuu wale wanaodai wanatoa connection telegram kwa malipo sio matapeli kweli? Nani ana experience nao kabla sijajilipua muongozo wenu muhimu
Tafuta mwenyewe utaliwa hela yako tuHivi wakuu wale wanaodai wanatoa connection telegram kwa malipo sio matapeli kweli? Nani ana experience nao kabla sijajilipua muongozo wenu muhimu