Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Pisi kali laini imeungua
20220306_142300.jpg
 
Wanawake wengi wapuuuzi tuuuuu. Tutafute pesa, mapenzi hayawezi kukupa Raha apa duniani. Unakuta mwanamke mkali lakini hajui chochote na bado anabanduliwa na boda boda, muuza chipsi, muuza nyama, mtu wa gengeni na bado masela

Tatizo mnayachukulia maisha siriazi sana. Ni nini kinachokufanya uamini kuwa mwanamke mkali hawezi kubanduliwa na muuza chips au bodaboda? Kwa vile maisha yao ni duni kimapato? Hivi ni vitu vya bandia sana kwa binadamu ndiyo maana mwanamke anaweza "akakupenda" kama una pesa lakini kumbe upendo wake halisi upo kwa kwa msela ambaye hana kitu.

Mkiweza kutofautisha mapenzi (tamaa ya mwili) na upendo (ubinadamu wa mtu) hamtaweza kuona tena mkanganyiko huu....[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom