Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Tatizo mnayachukulia maisha siriazi sana. Ni nini kinachokufanya uamini kuwa mwanamke mkali hawezi kubanduliwa na muuza chips au bodaboda? Kwa vile maisha yao ni duni kimapato...

Dah hawa viumbe unatakiwa ujitoe fahamu tu, hivi karibuni majirani zangu wawili licha ya kuwa mizigo mikali nilikua naishia kula kwa macho na kuwapa heshima.

Ila nimekuja kugundua mmoja Dada wa kiarabu kumbe analiwa na fala tu pale pale jirani na yule toto la kihehe linatafunwa na boda boda. Nilibaki speechless kabisa nilikua ni test zari tu na mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…