gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Ukimfatikia Mzee Rungwe utagundua ni msomi wa kitambo na alifanikiwa kimaisha mapema sana, na pia sikiliza interview zake utagundua ni mpana sana kwenye logic na fasihi.Kama inakuja hivi![emoji848]
Mcheki hapa chini, naamini anajaribu pia kuaddress issue ya ajira. Unawezaje kukopesha watu wasome vyuo kisha huajiri kwa miaka mitano?Matokeo yake wasomi wanaishi kwa kutegemea betting mtaani.
Vyuo vinadahili wanafunzi wa Education (arts) na unawakopesha, kisha unasema hutaajiri walimu wa arts hadi umalize upungufu wa walimu wa science. Lini, miaka 10 may be? Yaani watu wangoje tu kisa we unanunua ndege?