Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Kama inakuja hivi![emoji848]
Ukimfatikia Mzee Rungwe utagundua ni msomi wa kitambo na alifanikiwa kimaisha mapema sana, na pia sikiliza interview zake utagundua ni mpana sana kwenye logic na fasihi.

Mcheki hapa chini, naamini anajaribu pia kuaddress issue ya ajira. Unawezaje kukopesha watu wasome vyuo kisha huajiri kwa miaka mitano?Matokeo yake wasomi wanaishi kwa kutegemea betting mtaani.

Vyuo vinadahili wanafunzi wa Education (arts) na unawakopesha, kisha unasema hutaajiri walimu wa arts hadi umalize upungufu wa walimu wa science. Lini, miaka 10 may be? Yaani watu wangoje tu kisa we unanunua ndege?
 
Bila shaka wewe ni sampuli ya wale Wajumbe,kazi yenu kumtia mtu moyo kuwa anapendwa halafu mwisho wa siku anaangukia pua.Mtakuja muuwe watu kwa presha nyie.

hahahaha[emoji23], mkuu ukipata muda pitia twitter uone watanzania wanavomuhusudu Rungwe spunda,wengine wameenda mbali na kumuomba wali maharage tu wanadai wali nyama ni maendeleo makubwa sana mpaka wanaogopa
 
Ni aibu kuona mgombea wa ofisi kubwa na inayoheshimiwa zaidi Tanzania kuja na hoja kama hii. Ni kama comedy vile. Very shameful.[emoji3525][emoji3525]
 

Sina tatizo na sera zake, ila uwasilishaji wake kwa hadhira.

Aeleze namna vile atafanya ili watu wapate kunufaika, lengo sio kuwagawia misosi.
 
Sina tatizo na sera zake, ila uwasilishaji wake kwa hadhira.

Aeleze namna vile atafanya ili watu wapate kunufaika, lengo sio kuwagawia misosi.
Naamini hiyo ni namna anatumia kuvuta watu, kiuhalisia kwa chama chake asipokuwa na matukio exceptional watu hawatatokea na anaweza asipate hata wadhamini.

Alifanya hivo uchaguzi uliopita, nadhani tusubiri kampeni zianze tumuone.
 
kuleni chakula bora kuku mayai na mboga, hii ni sawa hiyo? namkumbuka mzee mwinamila, inaonekana umezaliwa miaka ya 2000 Nyerere alishastaafu, yeye ndio alituhimiza tule tushibe.
 
Kitendo Cha media kumpa airtime huyu jamaa Ni dharau kwa zoezi Zima la uchaguzi wa viongozi wa nchi
 
Ulivyodadavua sera ya lishe bora utadhani wewe ndiye mzee Rungwe mwenyewe😃😅😅
Wakalimani wa Rungwe wanamsaidia kazi. Sera zake ni za kitoto, anafurahisha genge tu, ndio maana anakuwa active kipindi hiki tu.
 
Mahotpot yamesheheni ubwabwa kuku, ataweza kugawa kwa makutano wote au ataishia kula na wachache hightable!!

Wafuasi wake tupo.....tumejiandaa kwa mipango yote......na supplier wa kuku nchi nzima tushampata.......
Vile vile kutakuwa na kachumbari nambogamboga......
Chagua chauma....pata afya bora......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…