Huyu jamaa bhana japo vyombo vya habari vinamshikilia sana anatangaza wali na maharage lakini pia asipuuziwe jamaa anazo hoja. Huku wengi hamtoelewa maana hamuijui njaa inayo wakuta wenzetu Tanzania huku huku ila ndio hivo social media haziwezi zionyesha ila amini amini chakula bado ni shida Tanzania
Wengi mtasema kampeni lakini sijui hata chama chake kwa kirefu kinaitwaje lakini he has a point
Chakula ni moja kati ya basic needs we all know lakini pia hahaha bado ukishiba sana unakua mvivu..
tumuombe Mungu atusaidie kufanya kilicho sahihi.
1. Wali
2. Singeli
3. Kuponda
ππππ Africa kweli hakuna matata