safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Pale nimemuelewa sana mzee rungwe.Tatizo mnamchukulia kama muigizaji but ana point muhimu sana kuhusu lishe ya watoto wa shule na wagonjwa.Pili katoa muelekeo wa kisera hasa kwenye sekta ya afya na lishe.
Jambo jingine amesema haingii akilini eti sera au ilani kuzungumzia madaraja na vitu kama hivyo kwamba hiyo ni wajibu wa serikali kufanya na, miradi inapangwa na serikali na kisha kuletwa bungeni kujadiliwa na bunge
Yani haiwezekani mtu uahidi utajenga madaraja,utajenga mashule,utajenga masoko.
Sasa haya si ndo wajibu hasa wa serikali wafanye hata kama hawakuahidi ?
Mzee namuelewa ila tu wengi hatuwezi kumuelewa vizuri.