Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Akili hana huyu mzee, anadhani ulimwengu huu wa technology bila mahesabu kama hayo tungekuwa hapa? Hesabu ni kila kitu
 
Kutoka kwa hashimu rungwe anasema
Muda tuliopoteza shuleni kusoma LOGARITHM bora tungefundishwa kubet hahaha huyu mzee ana mambo kweli kweli
Lakini mzee ana hoja nzito sana ukichukulia juujuu unaweza sema ni upumbavu tu vijana wengi sana wamekuwa na uraibu wa kamari hizi za betting hii ni kwa sababu ya wengi ni jobles
Mbona hii inafundishwa still
 
Huyu si ndio alidai alishinda Urais 2015 wakamuibia?
Mwaka huu nalinda kura zake
 
Ila sio siri shule tunapotezeana muda. Ngoja mimi nikuze miradi yangu watakaoridhi ni wanangu. Baada ya 4m4 ni kuingia mzigoni.
Ná betting ni calculations sasa Kheri tungefundishwa hizo calculations za betting kuliko logarithm
 
Baba zetu wanalima na jembe la mkono si waende?
Labda serkali inaiingiza kitu, maana mikeka kila kona
 
Kutoka kwa hashimu rungwe anasema
Muda tuliopoteza shuleni kusoma LOGARITHM bora tungefundishwa kubet hahaha huyu mzee ana mambo kweli kweli
Lakini mzee ana hoja nzito sana ukichukulia juujuu unaweza sema ni upumbavu tu vijana wengi sana wamekuwa na uraibu wa kamari hizi za betting hii ni kwa sababu ya wengi ni jobles
Anaelewa kwamba kuna watu wanabet kwa kutumia logarithms na wanatoboa?
 
Bora tufundishane kubeti tupate hela tu ha ha ha midegree hii bila hela ni uduanzi.
 
Msee Rungwe inaonekana huwa ana mikeka sana imo ya play master, meridian, premier bet 😂🤣🤪🤦🏃
 
Back
Top Bottom