Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji116]
JamiiForums2118912839.jpg
 
unamfahamu kiundani?
Hamjui rungwe anaongea tuu, rungwe hana shida hata kidogo, huyo alishakua na pesa toka kitamba mpka serikali ya mkapa ikamletea figusifigusi hao ndio watz wa kwanza kufungua yard za magari bongo ikiitwa bahari motors maeneo ya makumbusho na mpka leo hayo majengo yapo na ni mali yake, huyo hana njaa hata kidogo.
 
Huyu mzee kwa umri wake hafai kuwa anazungumza pumba kila mara.

Hii ni kama dharau kwa uelewa wa watanzania.
 
Bahari la faida gani ? , People need fresh water ili waweze kunywa au kumwagilizia au hajui kwamba maji ya chumvi zaidi ya kumwaga chooni they are more or less useless ?
 
Back
Top Bottom