Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Mimi ni mwanaume. Atanioaje? Nikisema ni ushoga mnakasirika wakati nmnauendekeza.
Nani kasema swala la wewe kuolewa? Ushauri wa bure kwako, acha kuwa unawaza maswala ya ushoga kila wakati, kumbuka aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea.
 
Kuelekea uchaguzi kila mgombea anakuja na sera zake. Kama bado hukuisikiliza sera za Hashimu Rungwe hizi hapa.

1. Watoto kula ubwabwa shuleni

2. Kupeleka bahari ya Hindi Dodoma[emoji23]

Kwa sera hizo IKULU ataingia?


Angepeleka Morogoro mji kasoro bahari, Dodoma wanahitaji mto wenye maji ya kunywa, kupikia, kunywesha mifugo yao na kumwagilia mashamba yao. Wagogo hawajui kuogelea baharini, wanaoga mchanga!
 
Nani kasema swala la wewe kuolewa? Ushauri wa bure kwako, acha kuwa unawaza maswala ya ushoga kila wakati, kumbuka aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea.
nalichukia huku mnalifanya. Anyway, TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Ni hilo tu mzee wangu, sahani za wali unazotarajia kugawa zitasukuma siku.... Tuko tayari kukutafuta popote unapofanyia kampeni hapa DSM, nina imani unasubiriwa kwa hamu hata mikoani

Tunajua kijani watakuletea maneno, wewe pambana

Ila usisahau toothpick na pilipili, ndizi tutakuja nazo sisi wenyewe
 
IMG_20200818_221149.jpg

Jana ameanzia Buza kutafuta wadhamini, leo naskia atakuwepo Mbezi Kibanda cha Mkaa, karibu sana mkuu. Mimi nitatembea nae kama mwenge
 
Niko na kalamu na dairy hapa napanga safu ya ushindi na kamati ya kuratibu mipango ya kampeni kumpeleka magogoni kipenzi cha watu chaguo la wote jembe HASHIMU RUNGWE...Sasa tujuane hapa nijue nani nimuweke wapi...
 
Tujuane tunaokwenda na mzee Rungwe, ubwabwa nyama na mandondo mwanzo mwisho.
 
Mgombea urais kupitia Chauma Mhe. Hashim Rungwe ameleta sera ya kugawa ubwabwa kwa wanafunzi na wote watakao hudhuria mikutano yake.

Akiwa ana hojiwa na Masoud Kipanya na PJ hakutaka wamuhoji wakiwa na njaa hivyo aliwapa ubwabwa kabla ya kumuhoji ili wamuhoji wakiwa wameshiba na akiwa anatekeleza sera yake kwa vitendo.

Video hii chini imemaliza kila kitu

 
Back
Top Bottom