Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Hashim Rungwe Spunda aliwahi kusema kwamba.
Ana uhakika alishinda uchaguzi mkuu kwa ugombea nafasi ya urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, lakini aliibiwa kura nyingi sana na ushahidi anao kwasababu alipokea sim nyingi za pole maradufu kuliko idadi ya kura alizopata.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hashim Rungwe anajua anachofanya kwa faida yake na chama chake' kwa kipindi hiki mzee anapiga zake ruzuku ya chama na wafadhili wake wanampa pia alaf huyu mzee yeye ana ajenda yake maendeleo yake' hana muda wa kubishana au kuongelea ubaya wa vyama vingine kwani anajua malengo yake hasa ktk siasa yake anayoifanya.
 
Back
Top Bottom