Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Huyu jamaa kauli mbiu yake ni ipi wadau?
 
Wakuu Habari,
Leo Mgombea kupitia chama cha Umma ametujia na hili-
Tutanunua ma Rice Cooker makubwa yanayopika tani nyingi za ubwabwa na kuyaweka katikati ya miji.

Tutayawekea mfumo mzuri kama koki hivi, mtu ukipita na una njaa, unajisevia ubwabwa tu bure unakula na kuendelea na Shughuli zako

NAWASILISHA
 
.
FB_IMG_1598122426787.jpeg
 
Mmmmmh! Tutasikia mengi!
 
Back
Top Bottom