Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Siwezi kukosa kampeni za rungwe, kwanza hakutakuwa na mabomu, ni ubwabwa na kuku tu.
teh teh teh kama hivi[emoji116]
20200818_234101.jpeg
 
Serikali ya kishindo imeshindwa hata kuweka dispensers za maji tu mitaani, Spunda ni ubwabwa kila kona!
[emoji2][emoji2] bado na kuku mmoja mmoja kwa kila mtu
...isitoshe anawaletea na bahari ya hindi pale Dodoma..mnahitaji nini tena?
 
Huyu mzee HARUNDA ni baba Levi Fulani hivi. Kwamba maisha ndio haya haya,watu wafurahi.
 
Sasa amchukue shishi baby shishi mgahawa awe mgombea mwenza [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHAUMA, Bwana Hashim Rungwe ana hoja ya msingi anayotaka kutuambia watanzania, tusimpuuze na kauli yake ya lishe Bora na kula ubwabwa.

1. Lishe bora hutatua changamoto za maradhi ya mara kwa mara. Hivyo kuipunguzia serikali mzigo wa kujenga hospital, kununua vifaa vya tiba na madawa. Naamini ubwabwa ambao watu wa vijijini hula siku ya sikukuu tu, ukitumika vema tutakuza uchumi kwa kupunguza bajeti ya wizara ya Afya na kupeleka kwenye viwanda.

2. Lishe bora huongeza kuzaliana, watu watazaliana na kukua bila shida, hapa nchi itapata nguvu kazi ama rasilimali watu ya kutosha. Hawa ndiyo watakaoipeleka Tanzania kuwa donor country huko mbeleni.

3. Ubwabwa huu huu ambao tunaudharau, utawafanya watanzania waishi kwa furaha sana. Ukizingatia hiki ni chakula pendwa kwa Watanzania wa rika zote. Furaha ni chimbuko la fikra chanya. Mwenye njaa siku zote hawezi kuwaza maendeleo. Atawaza chuki, unafiki, wivu na visasi. Lakini ukishiba, Wala huwazi hayo.

4. Watanzania wengi sasa hivi ni legelege, watoto wao wanaozaliwa ni lege lege. Tunakaribia kupoteza ile spishi ya majayanti. Kwasababu, wazazi wao kwa kukosa lishe wanatoa sperms na mayai yasiyo bora kwa kukosa Lishe. Tusiipuuze hoja ya Mh. Rungwe ili tuzae watoto kama akina Goliath na Samson.

Wachache sana tumemwelewa huyu mzee. Ana hoja za msingi kabisa.
 
Kwani Ugali ukiliwa una shida gani? Huyo Mzee angeongelea kuboresha miundombinu tuachane na vumbi ye anaongelea ubwabwa duh
 
Kwani Ugali ukiliwa una shida gani? Huyo Mzee angeongelea kuboresha miundombinu tuachane na vumbi ye anaongelea ubwabwa duh
Lakini ni haki yake kikatiba, naamini hawezi pata kura sifuri. Tupo tuliomwelewa tutampa.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi( NEC) imempitisha Hashim Rungwe kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHAUMMA baada ya kutimiza masharti ya uteuzi

Naye Mohamed Masoud ameteuliwa na Tume hiyo kugombea nafasi ya Makamu wa Rais kwa tiketi ya chama hicho

1598362166715.png
 
Back
Top Bottom