Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

[h=3]
11959969_817654068353917_7621700480585415073_n.jpg
[/h]
11988740_1483123282013181_3933360494107082354_n.jpg

Mh. Magufuli amekuwa akipokea Malundo ya Kadi za Wapinzani katika mikutano yake. Hii ni ishara tosha kuwa Watu wamechoka ahadi dhaifu za Ukawa.

hiz ngonjera wapelekee std two.
 
[h=3]
11959969_817654068353917_7621700480585415073_n.jpg
[/h]
11988740_1483123282013181_3933360494107082354_n.jpg

Mh. Magufuli amekuwa akipokea Malundo ya Kadi za Wapinzani katika mikutano yake. Hii ni ishara tosha kuwa Watu wamechoka ahadi dhaifu za Ukawa.

kati ya ahad za ukawa na za ccm n zp zmechokwa??use sense .

na mbona kadi zote ni mpyaaaa??
kenge nyie LOWASSA NDIO RAIS WAKO WA JMT AWAMU YA 5
 
[h=3]
11959969_817654068353917_7621700480585415073_n.jpg
[/h]
11988740_1483123282013181_3933360494107082354_n.jpg

Mh. Magufuli amekuwa akipokea Malundo ya Kadi za Wapinzani katika mikutano yake. Hii ni ishara tosha kuwa Watu wamechoka ahadi dhaifu za Ukawa.
Kadi hazina hata picha.


swissme
 
Tatzo la propaganda za ccm haziendi na wakati uliopo,hz propaganda ni za kizamani sana,kwanza kwa mgombea urais kupokea wanachama wa kawaida au viongozi wa matawi wa chama pinzani ni kumshusha magufuli heshima yake.Amkeni nyie magamba
 
Kadi mpya tupu and then hazijalipiwa mnatunga mnajichekesha wenyewe eh mtaisoma October makamanda tupo tayari kwa mabadiliko
 
nimemsikia mara nyingi magufuli akiafikiana na malofa kuwa tufanye mabadiliko halafu kazi tu tunaifanya kama tingatinga lakini atatakaje mabadiliko ndani ya sera zilezile,chamakilekile?
 
Kinana.jpg
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameongoza timu ya chama hicho kumsafishia njia Mgombea Urais wao, Dk John Magufuli mkoani Kilimanjaro, huku akiwaambia wananchi wa mkoa huo kuwa mgombea huyo ndiye kiongozi anayestahili kuongoza Tanzania.

Akizindua kampeni za CCM mjini Moshi, Kinana aliongozana na mgombea ubunge wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher ole Sendeka na yule wa Mtera mkoani Dodoma, Livingstone Lusinde maarufu kama Kibajaj.

Kinana alimuelezea Magufuli kuwa ni kiongozi anayestahili kuongoza Tanzania kutokana na historia yake ya uadilifu na uchapakazi katika maisha yake yote ya utendaji serikalini. Alisema katika utendaji wake akiwa Waziri kwa miaka 20, amefanya kazi kubwa kwa uadilifu na kujituma.
 
Katika hali ya kawaida inakubidi kulipa gharama fulani ili kuwaangalia wasanii wakubwa kama diomond na ally kiba, ila wanasiasa wameamua kuwalipia viingilio wapiga kura ili wapatiwe kura, hii ni rushwa mbaya sana.
 
Diamond ametoka kutoa show muda huu mkutano ccm Tanga. Ametoa vijembe kwa Rich.... Sasa anaongea Rais Magufuli. STAR TV iko LIVE
 
Magufuli kachanganyikiwa sana. Amekuwa na akili za uzumbukuku. Anaitaji maombi
 
Back
Top Bottom