maghufuli anazidi kuwadanganya watanzania mchana kweupe. ccm imekaa madarakani miaka 50 imeshindwa kutatua matatizo hayo. sembuse miaka mitano ijayo?
Kama Miaka yote Ccm haijafanya kitu, huo uchapakazi wa Lowassa umeujuaje?
maghufuli anazidi kuwadanganya watanzania mchana kweupe. ccm imekaa madarakani miaka 50 imeshindwa kutatua matatizo hayo. sembuse miaka mitano ijayo?
Hao unaosema wamepigika ndio wanapiga kura ya ndio kwa ukawa.
Magufuli wetu asijali Lowassa akipata urais atakuwa msimamizi mkuu wa tenda zote za kukusanya taka katika miji yote Tanzania kwa kuwa hiyo kazi ndo ana imudu.
Ha ha ha ha umesahau jana mlivyowabeba watu wa dumila kuwapeleka magole na mafuso alaf walivyorud mkawapa buku 2 2 na chai
Mgombea wa Ukawa hapa Dumila hata mguu hatatia. Na hawezi kusimama hivi na kuongea. Inasikitisha kuwa there is no real race just a perceived one. Na sisi wa mjini tunadhani mafuriko ya upinzani mijini inatosha.
Kura zipo vijijini na wananchi wa huko ndiyo waliopigika kweli siyo sisi wa mjini.
Hii nguvu ya kuongea ongea ujinga kwenye mitandao bila ushahidi wa kutosha itawatokea puani.
Mimi ni mkazi wa Turiani, mkutano wake pale uwanja wa kialawa ulidoda na umati wa watu haukufika hata robo ya ule uwanja wa mpira licha ya watu kusombelewa kwa maroli na mabasi kuanzia saa11 alfajiri.
Msafara wa Magufuli ulipita kwenye barabara ya Feri(Dumila)-Turiani-Mziha hadi huko Kilindi. Ni barabara ambayo mwaka2005 Kikwete wakati anajinadi alijiapiza kuwa ingejengwa yote kwa lami kabla hajaondoka madarakani kwani ilikuwa tayari ishafanyiwa upembuzi yakinifu kama barabara ya East Africa. Barabara ilitengewa pesa na ujenzi ukaendelea chini ya CCEC tangu 2010 wameweka lami kipande kido cha kutoka feri mpaka Mvomero ambacho hakifiki hata thelusi ya lengo la mradi licha ya kwamba mgombea wenu ndiye alikuwa waziri mhuzika mkuu alivyoulizwa kuhusu kustishwa kwa ujenzi wa barabara ile akaanza kubwabwaja tu na kuishia kusema eti bado tupo kwenye ujenzi wa madaraja zaidi ya miaka5 sasa na wakati huo wachina waliokuwa wakijenga barabara ile washarudi makwao zaidi ya miaka2 sasa!
View attachment 284687hapo ndio dumila upinzani upo juu kwa 99% usiniulize kwa nn wewe fuatilia matokeo ya serikal za mitaa wilaya yote ya kilosa dumila ndio ilitia fora NA HYO PICHA NI YA MKUTANO WA UZINDUZ WA KAMPEN ZA CCM NGAZ YA UDIWAN watu hao hata 40 hawafik waliojazwa hapo ni wamama waliopewa kanga na madela. LOWASA RAIS