Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

11959969_817654068353917_7621700480585415073_n.jpg



11988740_1483123282013181_3933360494107082354_n.jpg

Mh. Magufuli amekuwa akipokea Malundo ya Kadi za Wapinzani katika mikutano yake. Hii ni ishara tosha kuwa Watu wamechoka ahadi dhaifu za Ukawa.
 
[h=3][/h] Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Handeni Vijijini Ndugu Mboni Mhita.
​
Wananchi wa Handeni wakishangilia jambo kwenye mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Azimio Center mkoani Tanga.
 


​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisoma bango la vijana wafanya biashara ndogo ndogo wa eneo la Dumila maarufu kama Feri wakati akielekea mkoani Tanga ikiwa muendelezo wa mikutano ya kampeni za CCM .
​
Wananchi wanaoishi eneo la Dumila wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli

​

​
 
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Turiani mkoani Morogoro na kuwaambia atahakikisha migogoro ya ardhi inamalizika na kuileta jamii kuishi kwa amani na upendo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ambapo aliwaambia wananchi hao ataunda baraza dogo la mawaziri lakini pia atahakikisha barabara zinakamilika kwa kiwango cha Lami.
​
Wakazi wa Turiani mkoani Morogoro wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni.
​
Wananchi wakiinua mikono kuonyesha kukubaliana na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ​
 


Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi ilani ya uchaguzi mgombea ubunge wa jimbo la Mvomero Ndugu Sadiq Murad.

Mama akifurahia jambo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Turiani mkoani Morogoro.

Wakazi wa Kwaluguru wakimsubiri Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli afike na kuwasalimu wakazi hao.

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kilindi Omari M. Kigua wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Kwaluguru.

Wakazi wa kijiji cha Bandari kata ya Kimbe wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli.

Wakazi wa Songe wakifurahia ujio wa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Songe ambapo aliwaambia wananchi hao katika uongozi wake atasimamia haki kwa wananchi wote na kuhakiisha huduma zote za msingi zinapatikana.

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kibirashi

Msafara wa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukiwasili Kwediboma.

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Kwediboma.
 
[h=3]UMOJA WA VIJANA CCM TAIFA (UVCCM) WAANZA KAMPENI ZA MLANGO KWA MLANGO MKOANI IRINGA KUTAFUTA KURA ZA CCM NA MAGUFULI LIVE!![/h]


​

​

​

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shasha, ameanza kampeni rasmi ya ya Umoja huo kukitafutia Chama Cha Mapinduzi na Magufuli kura za kishindo kwenye uchaguzi ujao, katika Siku Tatu zilizopita ameongoza umoja huo kutafuta kura Mkoani Iringa kwenye Wilaya za Iringa Vijijini, Mjini, Mufindi, Kilolo na leo alikuwa Mufindi kazi inaendelea.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Liwalo na liwe ila Magufuli ni mkali kweli kweli akiwa raisi baada ya October kuna watu waliounganisha nguvu na kugeuka kichaka cha watu Fulani hivi wataanza kumkumbuka Raisi wa awamu ya nne........
 
Tunajua...si wanapewa nafasi mbele mbele na kuwa wameandaliwa na kadi feki kwa ajili ya picha !!! Hatujali, tumechoka na nyie wezi na ahadi feki za kila siku tangu 1995. Sasa basi...
 
Hatudanganyiki!!!!!!!!! Magufuli tupa kuleeeeeee!!!!! Rais wetu ni Lowassa tu!!!!!!!!!
 
Kweli sasa mabadiliko yamekolea!!!!!! ndio hivyo magufuli kashaanza kudoda!!! Habari kwa sasa ni mabadiliko!!!!!
 
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Turiani mkoani Morogoro na kuwaambia atahakikisha migogoro ya ardhi inamalizika na kuileta jamii kuishi kwa amani na upendo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ambapo aliwaambia wananchi hao ataunda baraza dogo la mawaziri lakini pia atahakikisha barabara zinakamilika kwa kiwango cha Lami.
​
Wakazi wa Turiani mkoani Morogoro wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni.
​
Wananchi wakiinua mikono kuonyesha kukubaliana na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ​

Kwikwi kwi CCM wakiona watu wachache wanakodi viti wanaweka ili angalau waonekane nyomi!!! pamoja na hayo hali hapa ni ngumu!!!
Turiani ni mji hauwezi kuwa na watu wachache hivi!!!! Lowaaaasaaaa!!!! ndio mpango mzima!!!!!!
 
Awaeleze hiyo Barabara ya Magole Mziha 48 km inayojengwa kwa miaka 6 tangu 2009 itaisha lini? Mkandarasi amesimama kazi toka 2014 kutokana na madai ya malipo.. Halafu mtu anaenda anaahidi kufanya kitu?
 
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Turiani mkoani Morogoro na kuwaambia atahakikisha migogoro ya ardhi inamalizika na kuileta jamii kuishi kwa amani na upendo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ambapo aliwaambia wananchi hao ataunda baraza dogo la mawaziri lakini pia atahakikisha barabara zinakamilika kwa kiwango cha Lami.
​
Wakazi wa Turiani mkoani Morogoro wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni.
​
Wananchi wakiinua mikono kuonyesha kukubaliana na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ​


IKIWA UCHAGUZI MKUU UTAFANYIKA LEO, LOWASSA ATASHINDA KWA 52.1%

Zikiwa zimesalia siku 47 kabla ya kufika October 25, utakapofanyika uchaguzi mkuu nchini, Asasi ya kiraia ya "Elite Generation" imefanikiwa kuainisha Takwimu za makadirio ya wapiga kura mwaka huu na namna wagombea wa Urais wanavyokubalika.

Ripoti ya utafiti huo inaonesha kuwa ikiwa uchaguzi utafanyika leo mgombea wa CHADEMA anayeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA Mhe.Edward Lowassa atashinda kwa 52.1% ya kura zote, akifuatiwa na mgombea wa CCM anayetegemewa kupata 32.6% ya kura zote zitakazopigwa. Wagombea wengine kwa pamoja watapa chini ya 20%.

Kwa mujibu wa Tume ta Taifa ya Takwimu, Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Mwaka 2015 ni watu 24,253,541. Tanzania Bara wapiga kura ni watu 23,533,050 na Zanzibar wapiga kura ni 720,491.

Mkoa wenye wapiga kura wengi ni Dar es Salaa ambao una wapiga kura 2,932,930 na mkoa wenye wapiga kura wachache zaidi ni Kusini Unguja yenye wapiga kura 69,546.

Hali inaonesha kuwa kati ya mikoa 25 ya Tanzania Bara, UKAWA inaungwa mkono zaidi katika mikoa 11 na CCM mikoa 8, huku mikoa 6 UKAWA, CCM na vyama vingine wakigawana wafuasi na kuzidiana nguvu katika majimbo ya mikoa hiyo.

Kwa upande wa Zanzibar, UKAWA inaungwa mkono mikoa miwili, CCM mikoa miwili na mkoa mmoja wakitoshana nguvu.

TANZANIA BARA,

Mikoa ambayo UKAWA ina wafuasi wengi kwa Tanzania Bara ni Dar es Salaam yenye wapiga kura (2,932,930), Arusha (944,729), K'njaro (976,003), Tanga (1,120,310), Morogoro (1,264,829), Mwanza (1,403,743), Mara (834,580), Mbeya (1,477,365), Iringa (524,390), Shinyanga (762,317), na Manyara (744,571).

Kwa upande wa CCM inaungwa mkono zaidi mikoa ya Dodoma (1,095,31, Pwani (644,840), Lindi (518,230), Ruvuma (783,296), Katavi (271,160), Mtwara (773,289), Singida (698,910), na Rukwa (472,796).

Mikoa ambayo UKAWA, CCM, ACT na vyama vingine vinatoshana nguvu hadi sasa ni Kagera (1,217,38, Kigoma (1,032,161), Tabora (1,124,167), Geita (808,337) Njombe (392,634) na Simiyu (714,757).

MIKOA YA Z'BAR

CCM inaungwa mkono zaidi Kaskazini Unguja yenye wapiga kura 104,965 na Kusini Unguja yenye wapiga kura 69,546.

UKAWA inakubalika zaidi mikoa ya Kaskazini Pemba yenye wapiga kura 103,910 na Kusini Pemba yenye wapiga kura 95,546. Mkoa wa Mjini Magharibi wenye wapiga kura 346,524 UKAWA na CCM wanakadiriwa kuwa na wafuasi wanaolingana.

UCHANGANUZI.

Katika mikoa 13 ambayo UKAWA inaungwa mkono (11 bara na 2 Zbar), mikoa hiyo ina juma ya wapiga kura 13,185,223. Ikiwa asilimia 70% ya watu wa maeneo hayo wakiipigia UKAWA basi mgombea wa UKAWA atapata kura 9,229,656, Mgombea wa CCM atapata kura 2,737,680 na wagombea wa vyama vingine watapata kura 1,217,887.

Katika mikoa 10 ambayo CCM inaungwa mkono (8 Bara na 2 Zbar) mikoa hiyo ina jumla ya wapiga kura 5,432,350. Ikiwa asilimia 70% wataipigia CCM basi mgombea wa CCM atapata kura 3,802,646, mgombea wa UKAWA atapata kura 1,073,686 na wagombea wa vyama vingine watapata kura 556,018.

Katika mikoa 7 ambayo UKAWA, CCM na vyama vingine vinashindana, mikoa hiyo ina jumla ya wapiga kura 5,635,968. Ikiwa vyama hivi vitaendelea kulingana nguvu basi kila kimoja kinaweza kupata kura zisizozidi 1,859,869.

MAJUMUISHO.!

Kutokana na takwimu hizo hapo juu, ikiwa uchaguzi mkuu utafanyika leo;

1. Wagombea wa vyama vingine (ACT, CHAUSTA, DP, TLP etc) kwa pamoja watapata kura 4,070,160 sawa na asilimia 14.9% ya kura zote.

2. Mgombea wa CCM atapata kura 8,400,195 sawa na 32.6% ya kura zote.

3. Mgombea wa UKAWA atapata jumla ya kura 12,163,228 sawa na asilimia 52.1% ya kura zote.

4. Jumla ya kura 72,760 sawa na asilimia 0.3% ya kura zote zinategemewa kuharibika.

Kazi hii ilifanyika Dodoma this weekend. Thanks Dodoma. See u next time.!

Asilimia 53% za Lowassa zinaonesha kupanda na kuongezeka siku baada ya siku huku Asilimia za Magufuli zikishuka kuendana na mchakato wa campaigns na dynamism ya maamuzi ya wapiga kura.
 
Bila ushabiki naweza kusema picha hizi zinadhihirisha kuwa Magufuli atakuja kuingia madarakani na mandate kubwa. And this is not necessarily a good thing but at this point it is a fact. Kwa sababu anatamba nchi nzima mostly unchallenged and strengthening the base huko vijijini. He is also getting enough support nationally while limited number of urban people wanajipa moja watachukua nchi na mgombea wa Ukawa ambaye hawezi kusafiri zaidi ya saa 1 na gari na kuongea kutokana na ugonjwa wake. Kwediboma na Kibirashi watamsikia Lowassa kwenye radio na huko hata diwani wakimchagua upinzani lakini urais atapewa Magufuli.
This election is almost over.
 
Mgombea wa Ukawa hapa Dumila hata mguu hatatia. Na hawezi kusimama hivi na kuongea. Inasikitisha kuwa there is no real race just a perceived one. Na sisi wa mjini tunadhani mafuriko ya upinzani mijini inatosha.
Kura zipo vijijini na wananchi wa huko ndiyo waliopigika kweli siyo sisi wa mjini.
 
Toooo late to catch the train!!!!! ni Lowassa tuuuu!!! asubuhi mchana na usiku ni lowassaaaaa!!!! Endeleeni kujenga sakafu kando kando mwa njia ila miyoyo ya watanzania imeandikwa Mabadilikoooooo!!!!! Lowasaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom