Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

IMG-20150821-WA0050.jpg Tanzania imesema yes, nani wakupinga? hakuna..ikulu ni yako magufuli
 
basi kumbe mafuriko sio ndo idad ya kura

Idadi ya kura ?? kwan uchaguzi umefanyika?? Mafuriko - Anacho maanisha ni vile watu wana hamasika / muamko wa watu ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Ujinga kutumia makalio kufikiri, ilhali ubongo unao.
 
ha ha ha aa ifakara...??? Aapishwe ....lowasa anateemesha tz sasa anafanya nn...kunamikoa ambayo ccm ikipewa beng tunaifahamu japo mingine ishakufa......mikoa ya ccm tz miwili Tuu morogoro na ruvuma kwingine kote peopleeeeeeees

Anatetemeka au anatetemesha
 
Wana Jf nauliza. Hivi huyu mzee ameamua kukacha kampeni au anasoma kwanza upepo?. Naona sasa magufuli amebaki mwenyewe kama yatima.!
 
Kuna kitu humu jukwaani!!!!!kuna watu wametumwa baada ya kuona lowassa anafunika had jf!!!!!!kwatulio zoea chek hii thread utagundua napita tu
 
Punguza mhemuko kuwa mvumilivu wa siasa, watanzania ndio wataamua sio njaa zako.!

Kwenye upigaji wa kura Mabasi na Malori hayatahusika, hivyo jiandae kisaikolojia
Ivi wewe ndo Dr. Mihogo?
Idadi ya kura ?? kwan uchaguzi umefanyika?? Mafuriko - Anacho maanisha ni vile watu wana hamasika / muamko wa watu ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Ujinga kutumia makalio kufikiri, ilhali ubongo unao.
 
Back
Top Bottom