Achana nae huyo me nahic amekula viazi vya kuchomwa na uji ndio maana anaropoka tu sisi CCM ndio chama chetu NA Magufuli ndio mrithi peke wa kikwete #HAPAKAZITU​
MXIUU.. eti haufikii wa mbunge we zero kweli wanaokuja wote kwenye mkutano wa ccm ni wapiga kura tena wa ccm sio ukawa wanajaza bodaboda na watoto ambao hata kura hawapigi acha kurubunika na wingi wa nzi #HAPAKAZITU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.